Yohana 11:17
John 11:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne.
John 11:17 in English
John 11:17 · Berean Standard Bible
When Jesus arrived, He found that Lazarus had already spent four days in the tomb.
Context
15Hata hivyo nafurahi kwa kuwa sikuwepo huko kabla ya Lazaro kufa, ili mpate kuamini. Lakini sasa twendeni kwake.” 16Tomaso aliyeitwa Pacha akawaambia wanafunzi wenzake, “Sisi nasi twendeni tukafe pamoja naye.” 17Yesu alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne. 18Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili,* 19na Wayahudi wengi walikuwa wamekuja kuwafariji Martha na Maria kwa ajili ya kufiwa na ndugu yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.