Native Bible

John 11:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tomaso aliyeitwa Pacha akawaambia wanafunzi wenzake, “Sisi nasi twendeni tukafe pamoja naye.”

John 11:16 in English

John 11:16 · Berean Standard Bible

Then Thomas called Didymus * said to his fellow disciples, “Let us also go, so that we may die with Him.”

Context

14Kwa hiyo Yesu akawaambia waziwazi, “Lazaro amekufa. 15Hata hivyo nafurahi kwa kuwa sikuwepo huko kabla ya Lazaro kufa, ili mpate kuamini. Lakini sasa twendeni kwake.” 16Tomaso aliyeitwa Pacha akawaambia wanafunzi wenzake, “Sisi nasi twendeni tukafe pamoja naye.” 17Yesu alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne. 18Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili,*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.