Native Bible

John 11:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo Yesu akawaambia waziwazi, “Lazaro amekufa.

John 11:14 in English

John 11:14 · Berean Standard Bible

So Jesus told them plainly, “Lazarus is dead,

Context

12Wanafunzi wakamwambia, “Bwana, kama amelala usingizi ataamka.” 13Hata hivyo, Yesu alikuwa anazungumzia kuwa Lazaro amekufa, lakini wanafunzi wake hawakuelewa, walidhani kwamba anasema Lazaro amelala usingizi tu. 14Kwa hiyo Yesu akawaambia waziwazi, “Lazaro amekufa. 15Hata hivyo nafurahi kwa kuwa sikuwepo huko kabla ya Lazaro kufa, ili mpate kuamini. Lakini sasa twendeni kwake.” 16Tomaso aliyeitwa Pacha akawaambia wanafunzi wenzake, “Sisi nasi twendeni tukafe pamoja naye.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.