Native Bible

John 11:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanafunzi wakamwambia, “Bwana, kama amelala usingizi ataamka.”

John 11:12 in English

John 11:12 · Berean Standard Bible

His disciples replied, “Lord, if he is sleeping, he will get better.”

Context

10Lakini wale watembeao usiku hujikwaa kwa sababu hakuna nuru ndani yao.” 11Baada ya kusema haya, Yesu akawaambia, “Rafiki yetu Lazaro amelala, lakini naenda kumwamsha.” 12Wanafunzi wakamwambia, “Bwana, kama amelala usingizi ataamka.” 13Hata hivyo, Yesu alikuwa anazungumzia kuwa Lazaro amekufa, lakini wanafunzi wake hawakuelewa, walidhani kwamba anasema Lazaro amelala usingizi tu. 14Kwa hiyo Yesu akawaambia waziwazi, “Lazaro amekufa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.