Yohana 11:10
John 11:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini wale watembeao usiku hujikwaa kwa sababu hakuna nuru ndani yao.”
John 11:10 in English
John 11:10 · Berean Standard Bible
But if anyone walks at night, he will stumble, because he has no light.”
Context
8Wanafunzi wake wakamwambia, “Rabi, Wayahudi walikuwa wanataka kukupiga mawe, nawe unataka kurudi huko?” 9Yesu akawajibu, “Si kuna saa kumi na mbili za mchana katika siku moja? Wala watembeao mchana hawawezi kujikwaa kwa maana wanaona nuru ya ulimwengu huu. 10Lakini wale watembeao usiku hujikwaa kwa sababu hakuna nuru ndani yao.” 11Baada ya kusema haya, Yesu akawaambia, “Rafiki yetu Lazaro amelala, lakini naenda kumwamsha.” 12Wanafunzi wakamwambia, “Bwana, kama amelala usingizi ataamka.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.