Yohana 11:8
John 11:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanafunzi wake wakamwambia, “Rabi, Wayahudi walikuwa wanataka kukupiga mawe, nawe unataka kurudi huko?”
John 11:8 in English
John 11:8 · Berean Standard Bible
“Rabbi,” they replied, “the Jews just tried to stone You, and You are going back there?”
Context
6baada ya kusikia kwamba Lazaro ni mgonjwa, aliendelea kukawia huko alikokuwa kwa siku mbili zaidi. 7Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Haya, turudi Uyahudi.” 8Wanafunzi wake wakamwambia, “Rabi, Wayahudi walikuwa wanataka kukupiga mawe, nawe unataka kurudi huko?” 9Yesu akawajibu, “Si kuna saa kumi na mbili za mchana katika siku moja? Wala watembeao mchana hawawezi kujikwaa kwa maana wanaona nuru ya ulimwengu huu. 10Lakini wale watembeao usiku hujikwaa kwa sababu hakuna nuru ndani yao.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.