Yohana 11:7
John 11:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Haya, turudi Uyahudi.”
John 11:7 in English
John 11:7 · Berean Standard Bible
and then He said to the disciples, “Let us go back to Judea.”
Context
5Pamoja na hivyo, ingawa Yesu aliwapenda Martha, Maria na Lazaro ndugu yao, 6baada ya kusikia kwamba Lazaro ni mgonjwa, aliendelea kukawia huko alikokuwa kwa siku mbili zaidi. 7Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Haya, turudi Uyahudi.” 8Wanafunzi wake wakamwambia, “Rabi, Wayahudi walikuwa wanataka kukupiga mawe, nawe unataka kurudi huko?” 9Yesu akawajibu, “Si kuna saa kumi na mbili za mchana katika siku moja? Wala watembeao mchana hawawezi kujikwaa kwa maana wanaona nuru ya ulimwengu huu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.