Yohana 11:18
John 11:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili,*
John 11:18 in English
John 11:18 · Berean Standard Bible
Now Bethany was near Jerusalem, a little less than two miles * away,
Context
16Tomaso aliyeitwa Pacha akawaambia wanafunzi wenzake, “Sisi nasi twendeni tukafe pamoja naye.” 17Yesu alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne. 18Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili,* 19na Wayahudi wengi walikuwa wamekuja kuwafariji Martha na Maria kwa ajili ya kufiwa na ndugu yao. 20Martha aliposikia kwamba Yesu anakuja, alitoka kwenda kumlaki, ila Maria alibaki nyumbani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.