Native Bible

John 11:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Martha aliposikia kwamba Yesu anakuja, alitoka kwenda kumlaki, ila Maria alibaki nyumbani.

John 11:20 in English

John 11:20 · Berean Standard Bible

So when Martha heard that Jesus was coming, she went out to meet Him; but Mary stayed at home.

Context

18Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili,* 19na Wayahudi wengi walikuwa wamekuja kuwafariji Martha na Maria kwa ajili ya kufiwa na ndugu yao. 20Martha aliposikia kwamba Yesu anakuja, alitoka kwenda kumlaki, ila Maria alibaki nyumbani. 21Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, ndugu yangu hangalikufa. 22Lakini sasa ninajua kuwa chochote utakachomwomba Mungu, atakupa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.