Native Bible

John 10:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata,

John 10:27 in English

John 10:27 · Berean Standard Bible

My sheep listen to My voice; I know them, and they follow Me.

Context

25Yesu akawajibu, “Nimewaambia, lakini hamwamini. Mambo ninayoyatenda kwa jina la Baba yangu yananishuhudia. 26Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu. 27Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata, 28nami ninawapa uzima wa milele, hawataangamia kamwe wala hakuna mtu atakayewapokonya kutoka mikono yangu. 29Baba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.