Native Bible

John 10:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nami ninawapa uzima wa milele, hawataangamia kamwe wala hakuna mtu atakayewapokonya kutoka mikono yangu.

John 10:28 in English

John 10:28 · Berean Standard Bible

I give them eternal life, and they will never perish. No one can snatch them out of My hand.

Context

26Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu. 27Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata, 28nami ninawapa uzima wa milele, hawataangamia kamwe wala hakuna mtu atakayewapokonya kutoka mikono yangu. 29Baba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake. 30Mimi na Baba yangu tu umoja.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.