Native Bible

John 10:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu.

John 10:26 in English

John 10:26 · Berean Standard Bible

But because you are not My sheep, you refuse to believe.

Context

24Wayahudi wakamkusanyikia wakamuuliza, “Utatuweka katika hali ya mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiye Kristo* tuambie waziwazi.” 25Yesu akawajibu, “Nimewaambia, lakini hamwamini. Mambo ninayoyatenda kwa jina la Baba yangu yananishuhudia. 26Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu. 27Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata, 28nami ninawapa uzima wa milele, hawataangamia kamwe wala hakuna mtu atakayewapokonya kutoka mikono yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.