Native Bible

John 10:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akawajibu, “Nimewaambia, lakini hamwamini. Mambo ninayoyatenda kwa jina la Baba yangu yananishuhudia.

John 10:25 in English

John 10:25 · Berean Standard Bible

“I already told you,” Jesus replied, “but you did not believe. The works I do in My Father’s name testify on My behalf.

Context

23Naye Yesu alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Solomoni. 24Wayahudi wakamkusanyikia wakamuuliza, “Utatuweka katika hali ya mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiye Kristo* tuambie waziwazi.” 25Yesu akawajibu, “Nimewaambia, lakini hamwamini. Mambo ninayoyatenda kwa jina la Baba yangu yananishuhudia. 26Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu. 27Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.