Native Bible

John 10:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wayahudi wakamkusanyikia wakamuuliza, “Utatuweka katika hali ya mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiye Kristo* tuambie waziwazi.”

John 10:24 in English

John 10:24 · Berean Standard Bible

So the Jews gathered around Him and demanded, “How long will You keep us in suspense? If You are the Christ, tell us plainly.”

Context

22Wakati huo ilikuwa Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu* huko Yerusalemu, nao ulikuwa wakati wa majira ya baridi. 23Naye Yesu alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Solomoni. 24Wayahudi wakamkusanyikia wakamuuliza, “Utatuweka katika hali ya mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiye Kristo* tuambie waziwazi.” 25Yesu akawajibu, “Nimewaambia, lakini hamwamini. Mambo ninayoyatenda kwa jina la Baba yangu yananishuhudia. 26Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.