Native Bible

John 10:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye Yesu alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Solomoni.

John 10:23 in English

John 10:23 · Berean Standard Bible

and Jesus was walking in the temple courts * in Solomon’s Colonnade.

Context

21Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mtu aliyepagawa na pepo mchafu. Je, pepo mchafu aweza kufungua macho ya kipofu?” 22Wakati huo ilikuwa Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu* huko Yerusalemu, nao ulikuwa wakati wa majira ya baridi. 23Naye Yesu alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Solomoni. 24Wayahudi wakamkusanyikia wakamuuliza, “Utatuweka katika hali ya mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiye Kristo* tuambie waziwazi.” 25Yesu akawajibu, “Nimewaambia, lakini hamwamini. Mambo ninayoyatenda kwa jina la Baba yangu yananishuhudia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.