Yohana 10:21
John 10:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mtu aliyepagawa na pepo mchafu. Je, pepo mchafu aweza kufungua macho ya kipofu?”
John 10:21 in English
John 10:21 · Berean Standard Bible
But others replied, “These are not the words of a man possessed by a demon. Can a demon open the eyes of the blind?”
Context
19Kwa maneno haya Wayahudi waligawanyika. 20Wengi wao wakasema, “Huyu amepagawa na pepo mchafu, naye amechanganyikiwa.” 21Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mtu aliyepagawa na pepo mchafu. Je, pepo mchafu aweza kufungua macho ya kipofu?” 22Wakati huo ilikuwa Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu* huko Yerusalemu, nao ulikuwa wakati wa majira ya baridi. 23Naye Yesu alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Solomoni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.