Yohana 10:19
John 10:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maneno haya Wayahudi waligawanyika.
John 10:19 in English
John 10:19 · Berean Standard Bible
Again there was division among the Jews because of Jesus’ message.
Context
17Baba yangu ananipenda kwa kuwa ninautoa uhai wangu ili niupate tena. 18Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, bali ninautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuutwaa tena. Amri hii nimepewa na Baba yangu.” 19Kwa maneno haya Wayahudi waligawanyika. 20Wengi wao wakasema, “Huyu amepagawa na pepo mchafu, naye amechanganyikiwa.” 21Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mtu aliyepagawa na pepo mchafu. Je, pepo mchafu aweza kufungua macho ya kipofu?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.