Native Bible

John 10:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, bali ninautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuutwaa tena. Amri hii nimepewa na Baba yangu.”

John 10:18 in English

John 10:18 · Berean Standard Bible

No one takes it from Me, but I lay it down of My own accord. I have authority to lay it down and authority to take it up again. This charge I have received from My Father.”

Context

16Ninao kondoo wengine ambao si wa zizi hili, inanipasa kuwaleta, nao wataisikia sauti yangu, hivyo patakuwa na kundi moja na mchungaji mmoja. 17Baba yangu ananipenda kwa kuwa ninautoa uhai wangu ili niupate tena. 18Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, bali ninautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuutwaa tena. Amri hii nimepewa na Baba yangu.” 19Kwa maneno haya Wayahudi waligawanyika. 20Wengi wao wakasema, “Huyu amepagawa na pepo mchafu, naye amechanganyikiwa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.