Native Bible

John 10:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wengi wao wakasema, “Huyu amepagawa na pepo mchafu, naye amechanganyikiwa.”

John 10:20 in English

John 10:20 · Berean Standard Bible

Many of them said, “He is demon-possessed and insane. Why would you listen to Him?”

Context

18Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, bali ninautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuutwaa tena. Amri hii nimepewa na Baba yangu.” 19Kwa maneno haya Wayahudi waligawanyika. 20Wengi wao wakasema, “Huyu amepagawa na pepo mchafu, naye amechanganyikiwa.” 21Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mtu aliyepagawa na pepo mchafu. Je, pepo mchafu aweza kufungua macho ya kipofu?” 22Wakati huo ilikuwa Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu* huko Yerusalemu, nao ulikuwa wakati wa majira ya baridi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.