Yohana 10:29
John 10:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake.
John 10:29 in English
John 10:29 · Berean Standard Bible
My Father who has given them to Me is greater than all. No one can snatch them out of My Father’s hand.
Context
27Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata, 28nami ninawapa uzima wa milele, hawataangamia kamwe wala hakuna mtu atakayewapokonya kutoka mikono yangu. 29Baba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake. 30Mimi na Baba yangu tu umoja.” 31Kwa mara nyingine Wayahudi wakainua mawe ili wampige nayo,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.