Native Bible

John 10:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa mara nyingine Wayahudi wakainua mawe ili wampige nayo,

John 10:31 in English

John 10:31 · Berean Standard Bible

At this, the Jews again picked up stones to stone Him.

Context

29Baba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake. 30Mimi na Baba yangu tu umoja.” 31Kwa mara nyingine Wayahudi wakainua mawe ili wampige nayo, 32lakini Yesu akawaambia, “Nimewaonyesha miujiza mingi mikubwa kutoka kwa Baba yangu. Ni ipi katika hiyo mnataka kunipiga mawe?” 33Wayahudi wakamjibu, “Hatukupigi mawe kwa sababu ya mambo mema uliyotenda, bali ni kwa kuwa umekufuru. Wewe ingawa ni mwanadamu unajifanya kuwa Mungu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.