Native Bible

John 1:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!”

John 1:36 in English

John 1:36 · Berean Standard Bible

When he saw Jesus walking by, he said, “Look, the Lamb of God!”

Context

34Mimi mwenyewe nimeona jambo hili na ninashuhudia kuwa huyu ndiye Mwana wa Mungu.” 35Siku iliyofuata, Yohana alikuwa huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili. 36Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!” 37Wale wanafunzi wawili walipomsikia Yohana akisema haya, wakamfuata Yesu. 38Yesu akageuka, akawaona wakimfuata akawauliza, “Mnataka nini?” Wakamwambia, “Rabi,” (maana yake Mwalimu), “Unaishi wapi?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.