Native Bible

John 1:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wanafunzi wawili walipomsikia Yohana akisema haya, wakamfuata Yesu.

John 1:37 in English

John 1:37 · Berean Standard Bible

And when the two disciples heard him say this, they followed Jesus.

Context

35Siku iliyofuata, Yohana alikuwa huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili. 36Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!” 37Wale wanafunzi wawili walipomsikia Yohana akisema haya, wakamfuata Yesu. 38Yesu akageuka, akawaona wakimfuata akawauliza, “Mnataka nini?” Wakamwambia, “Rabi,” (maana yake Mwalimu), “Unaishi wapi?” 39Yesu akawajibu, “Njooni, nanyi mtapaona!” Hivyo wakaenda na kupaona mahali alipokuwa anaishi, wakakaa naye siku ile, kwa kuwa ilikuwa yapata saa kumi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.