Yohana 1:35
John 1:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Siku iliyofuata, Yohana alikuwa huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili.
John 1:35 in English
John 1:35 · Berean Standard Bible
The next day John was there again with two of his disciples.
Context
33Mimi nisingemtambua, lakini yeye aliyenituma nibatize kwa maji alikuwa ameniambia, ‘Yule mtu utakayemwona Roho akimshukia na kukaa juu yake, huyo ndiye atakayebatiza kwa Roho Mtakatifu.’ 34Mimi mwenyewe nimeona jambo hili na ninashuhudia kuwa huyu ndiye Mwana wa Mungu.” 35Siku iliyofuata, Yohana alikuwa huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili. 36Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!” 37Wale wanafunzi wawili walipomsikia Yohana akisema haya, wakamfuata Yesu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.