Native Bible

John 1:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimi mwenyewe nimeona jambo hili na ninashuhudia kuwa huyu ndiye Mwana wa Mungu.”

John 1:34 in English

John 1:34 · Berean Standard Bible

I have seen and testified that this is the Son of God.*”

Context

32Kisha Yohana akatoa ushuhuda huu: “Nilimwona Roho akishuka kutoka mbinguni kama hua, akakaa juu yake. 33Mimi nisingemtambua, lakini yeye aliyenituma nibatize kwa maji alikuwa ameniambia, ‘Yule mtu utakayemwona Roho akimshukia na kukaa juu yake, huyo ndiye atakayebatiza kwa Roho Mtakatifu.’ 34Mimi mwenyewe nimeona jambo hili na ninashuhudia kuwa huyu ndiye Mwana wa Mungu.” 35Siku iliyofuata, Yohana alikuwa huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili. 36Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.