Yeremia 8:20
Jeremiah 8:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mavuno yamepita, kiangazi kimekwisha, nasi hatujaokolewa.”
Jeremiah 8:20 in English
Jeremiah 8:20 · Berean Standard Bible
“The harvest has passed, the summer has ended, but we have not been saved.”
Context
18Ee Mfariji wangu katika huzuni,
moyo wangu umezimia ndani yangu. 19Sikia kilio cha watu wangu
kutoka nchi ya mbali:
“Je, Bwana hayuko Sayuni?
Je, Mfalme wake hayuko tena huko?”
“Kwa nini wamenikasirisha kwa vinyago vyao,
kwa sanamu zao za kigeni zisizofaa?” 20“Mavuno yamepita,
kiangazi kimekwisha,
nasi hatujaokolewa.” 21Kwa kuwa watu wangu wamepondwa, nami nimepondeka pia;
ninaomboleza, nayo hofu kuu imenishika. 22Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi?
Je, hakuna tabibu huko?
Kwa nini basi hakuna uponyaji
wa majeraha ya watu wangu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.