Native Bible

Jeremiah 8:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa watu wangu wamepondwa, nami nimepondeka pia; ninaomboleza, nayo hofu kuu imenishika.

Jeremiah 8:21 in English

Jeremiah 8:21 · Berean Standard Bible

For the brokenness of the daughter of my people I am crushed. I mourn; horror has gripped me.

Context

19Sikia kilio cha watu wangu kutoka nchi ya mbali: “Je, Bwana hayuko Sayuni? Je, Mfalme wake hayuko tena huko?” “Kwa nini wamenikasirisha kwa vinyago vyao, kwa sanamu zao za kigeni zisizofaa?” 20“Mavuno yamepita, kiangazi kimekwisha, nasi hatujaokolewa.” 21Kwa kuwa watu wangu wamepondwa, nami nimepondeka pia; ninaomboleza, nayo hofu kuu imenishika. 22Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi? Je, hakuna tabibu huko? Kwa nini basi hakuna uponyaji wa majeraha ya watu wangu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.