Native Bible

Jeremiah 8:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi? Je, hakuna tabibu huko? Kwa nini basi hakuna uponyaji wa majeraha ya watu wangu?

Jeremiah 8:22 in English

Jeremiah 8:22 · Berean Standard Bible

Is there no balm in Gilead? Is no physician there? Why then has the health of the daughter of my people not been restored?

Context

20“Mavuno yamepita, kiangazi kimekwisha, nasi hatujaokolewa.” 21Kwa kuwa watu wangu wamepondwa, nami nimepondeka pia; ninaomboleza, nayo hofu kuu imenishika. 22Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi? Je, hakuna tabibu huko? Kwa nini basi hakuna uponyaji wa majeraha ya watu wangu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.