Yeremia 51:40
Jeremiah 51:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Nitawateremsha kama wana-kondoo waendao machinjoni, kama kondoo dume na mbuzi.
Jeremiah 51:40 in English
Jeremiah 51:40 · Berean Standard Bible
I will bring them down like lambs to the slaughter, like rams with male goats.
Context
38Watu wake wote wananguruma kama simba wadogo,
wanakoroma kama wana simba. 39Lakini wakati wakiwa wameamshwa,
nitawaandalia karamu
na kuwafanya walewe,
ili wapige kelele kwa kicheko,
kisha walale milele na wasiamke,”
asema Bwana. 40“Nitawateremsha kama wana-kondoo waendao machinjoni,
kama kondoo dume na mbuzi. 41“Tazama jinsi Sheshaki* atakamatwa,
majivuno ya dunia yote yatakavyonyakuliwa.
Babeli atakuwa mwenye hofu kiasi gani
kati ya mataifa! 42Bahari itainuka juu ya Babeli;
mawimbi yake yenye kunguruma yatamfunika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.