Native Bible

Jeremiah 51:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wakati wakiwa wameamshwa, nitawaandalia karamu na kuwafanya walewe, ili wapige kelele kwa kicheko, kisha walale milele na wasiamke,” asema Bwana.

Jeremiah 51:39 in English

Jeremiah 51:39 · Berean Standard Bible

While they are flushed with heat, I will serve them a feast, and I will make them drunk so that they may revel; then they will fall asleep forever and never wake up, declares the LORD.

Context

37Babeli utakuwa lundo la magofu na makao ya mbweha, kitu cha kutisha na kudharauliwa, mahali asipoishi mtu. 38Watu wake wote wananguruma kama simba wadogo, wanakoroma kama wana simba. 39Lakini wakati wakiwa wameamshwa, nitawaandalia karamu na kuwafanya walewe, ili wapige kelele kwa kicheko, kisha walale milele na wasiamke,” asema Bwana. 40“Nitawateremsha kama wana-kondoo waendao machinjoni, kama kondoo dume na mbuzi. 41“Tazama jinsi Sheshaki* atakamatwa, majivuno ya dunia yote yatakavyonyakuliwa. Babeli atakuwa mwenye hofu kiasi gani kati ya mataifa!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.