Yeremia 51:42
Jeremiah 51:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bahari itainuka juu ya Babeli; mawimbi yake yenye kunguruma yatamfunika.
Jeremiah 51:42 in English
Jeremiah 51:42 · Berean Standard Bible
The sea has come up over Babylon; she is covered in turbulent waves.
Context
40“Nitawateremsha kama wana-kondoo waendao machinjoni,
kama kondoo dume na mbuzi. 41“Tazama jinsi Sheshaki* atakamatwa,
majivuno ya dunia yote yatakavyonyakuliwa.
Babeli atakuwa mwenye hofu kiasi gani
kati ya mataifa! 42Bahari itainuka juu ya Babeli;
mawimbi yake yenye kunguruma yatamfunika. 43Miji yake itakuwa ukiwa,
kame na jangwa,
nchi ambayo hakuna yeyote anayeishi ndani yake,
ambayo hakuna mtu anayepita humo. 44Nitamwadhibu Beli katika Babeli,
na kumfanya atapike kile alichokimeza.
Mataifa hayatamiminika tena kwake.
Nao ukuta wa Babeli utaanguka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.