Native Bible

Jeremiah 4:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nilitazama, wala watu hawakuwepo; kila ndege wa angani alikuwa ameruka zake.

Jeremiah 4:25 in English

Jeremiah 4:25 · Berean Standard Bible

I looked, and no man was left; all the birds of the air had fled.

Context

23Niliitazama dunia, nayo haikuwa na umbo tena ni tupu; niliziangalia mbingu, mianga ilikuwa imetoweka. 24Niliitazama milima, nayo ilikuwa ikitetemeka, vilima vyote vilikuwa vikiyumbayumba. 25Nilitazama, wala watu hawakuwepo; kila ndege wa angani alikuwa ameruka zake. 26Nilitazama, hata nchi iliyokuwa imestawi vizuri imekuwa jangwa, miji yake yote ilikuwa magofu mbele za Bwana, mbele ya hasira yake kali. 27Hivi ndivyo Bwana asemavyo: “Nchi yote itaharibiwa, ingawa sitaiangamiza kabisa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.