Yeremia 4:24
Jeremiah 4:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Niliitazama milima, nayo ilikuwa ikitetemeka, vilima vyote vilikuwa vikiyumbayumba.
Jeremiah 4:24 in English
Jeremiah 4:24 · Berean Standard Bible
I looked at the mountains, and behold, they were quaking; all the hills were swaying.
Context
22“Watu wangu ni wapumbavu,
hawanijui mimi.
Ni watoto wasio na akili,
hawana ufahamu.
Ni hodari kutenda mabaya,
hawajui kutenda yaliyo mema.” 23Niliitazama dunia,
nayo haikuwa na umbo tena ni tupu;
niliziangalia mbingu,
mianga ilikuwa imetoweka. 24Niliitazama milima, nayo ilikuwa ikitetemeka,
vilima vyote vilikuwa vikiyumbayumba. 25Nilitazama, wala watu hawakuwepo;
kila ndege wa angani alikuwa ameruka zake. 26Nilitazama, hata nchi iliyokuwa imestawi vizuri imekuwa jangwa,
miji yake yote ilikuwa magofu
mbele za Bwana,
mbele ya hasira yake kali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.