Native Bible

Jeremiah 25:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Dedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali;

Jeremiah 25:23 in English

Jeremiah 25:23 · Berean Standard Bible

Dedan, Tema, Buz, and all who cut the corners of their hair;

Context

21Edomu, Moabu na Amoni; 22wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ngʼambo ya bahari; 23Dedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali; 24wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa; 25wafalme wote wa Zimri, Elamu na Umedi;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.