Yeremia 25:21
Jeremiah 25:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Edomu, Moabu na Amoni;
Jeremiah 25:21 in English
Jeremiah 25:21 · Berean Standard Bible
Edom, Moab, and the Ammonites;
Context
19pia Farao mfalme wa Misri, watumishi wake, maafisa wake na watu wake wote, 20pia wageni wote walioko huko; wafalme wote wa nchi ya Usi; wafalme wote wa Wafilisti (wale wa Ashkeloni, Gaza, Ekroni na watu walioachwa huko Ashdodi); 21Edomu, Moabu na Amoni; 22wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ngʼambo ya bahari; 23Dedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.