Yeremia 25:19
Jeremiah 25:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
pia Farao mfalme wa Misri, watumishi wake, maafisa wake na watu wake wote,
Jeremiah 25:19 in English
Jeremiah 25:19 · Berean Standard Bible
Pharaoh king of Egypt, his officials, his leaders, and all his people;
Context
17Hivyo nikakichukua kikombe kutoka mkononi mwa Bwana, na kuyafanya mataifa yote aliyonituma kwao kukinywa: 18Yaani Yerusalemu na miji ya Yuda, wafalme wake na maafisa wake, kuwafanya magofu na kuwa kitu cha kuchukiza, cha dhihaka na laana, kama walivyo leo; 19pia Farao mfalme wa Misri, watumishi wake, maafisa wake na watu wake wote, 20pia wageni wote walioko huko; wafalme wote wa nchi ya Usi; wafalme wote wa Wafilisti (wale wa Ashkeloni, Gaza, Ekroni na watu walioachwa huko Ashdodi); 21Edomu, Moabu na Amoni;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.