Native Bible

Jeremiah 25:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ngʼambo ya bahari;

Jeremiah 25:22 in English

Jeremiah 25:22 · Berean Standard Bible

all the kings of Tyre and Sidon; the kings of the coastlands across the sea;

Context

20pia wageni wote walioko huko; wafalme wote wa nchi ya Usi; wafalme wote wa Wafilisti (wale wa Ashkeloni, Gaza, Ekroni na watu walioachwa huko Ashdodi); 21Edomu, Moabu na Amoni; 22wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ngʼambo ya bahari; 23Dedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali; 24wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.