Yeremia 25:24
Jeremiah 25:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa;
Jeremiah 25:24 in English
Jeremiah 25:24 · Berean Standard Bible
all the kings of Arabia, and all the kings of the mixed tribes who dwell in the desert;
Context
22wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ngʼambo ya bahari; 23Dedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali; 24wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa; 25wafalme wote wa Zimri, Elamu na Umedi; 26na wafalme wote wa pande za kaskazini, wa karibu na wa mbali, mmoja baada ya mwingine; yaani falme zote juu ya uso wa dunia. Baada ya hao wote, mfalme wa Sheshaki* atakunywa pia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.