Yeremia 25:25
Jeremiah 25:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wafalme wote wa Zimri, Elamu na Umedi;
Jeremiah 25:25 in English
Jeremiah 25:25 · Berean Standard Bible
all the kings of Zimri, Elam, and Media;
Context
23Dedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali; 24wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa; 25wafalme wote wa Zimri, Elamu na Umedi; 26na wafalme wote wa pande za kaskazini, wa karibu na wa mbali, mmoja baada ya mwingine; yaani falme zote juu ya uso wa dunia. Baada ya hao wote, mfalme wa Sheshaki* atakunywa pia. 27“Kisha uwaambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: Kunyweni, mlewe na mtapike; angukeni, wala msiinuke tena kwa sababu ya upanga nitakaotuma miongoni mwenu.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.