Yeremia 1:9
Jeremiah 1:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Bwana akaunyoosha mkono wake na kugusa kinywa changu, akaniambia, “Sasa nimeyaweka maneno yangu kinywani mwako.
Jeremiah 1:9 in English
Jeremiah 1:9 · Berean Standard Bible
Then the LORD reached out His hand, touched my mouth, and said to me: “Behold, I have put My words in your mouth.
Context
7Lakini Bwana akaniambia, “Usiseme, ‘Mimi ni mtoto mdogo tu.’ Utaenda popote nitakapokutuma na kunena lolote nitakalokuagiza. 8Usiwaogope, kwa maana niko pamoja nawe nikuokoe,” asema Bwana. 9Kisha Bwana akaunyoosha mkono wake na kugusa kinywa changu, akaniambia, “Sasa nimeyaweka maneno yangu kinywani mwako. 10Tazama, leo nimekuweka juu ya mataifa na falme ili kungʼoa na kubomoa, kuharibu na kuangamiza, kujenga na kupanda.” 11Neno la Bwana likanijia kusema, “Je, Yeremia unaona nini?”
Nami nikajibu, “Naona tawi la mti wa mlozi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.