Native Bible

Jeremiah 1:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tazama, leo nimekuweka juu ya mataifa na falme ili kungʼoa na kubomoa, kuharibu na kuangamiza, kujenga na kupanda.”

Jeremiah 1:10 in English

Jeremiah 1:10 · Berean Standard Bible

See, I have appointed you today over nations and kingdoms to uproot and tear down, to destroy and overthrow, to build and plant.”

Context

8Usiwaogope, kwa maana niko pamoja nawe nikuokoe,” asema Bwana. 9Kisha Bwana akaunyoosha mkono wake na kugusa kinywa changu, akaniambia, “Sasa nimeyaweka maneno yangu kinywani mwako. 10Tazama, leo nimekuweka juu ya mataifa na falme ili kungʼoa na kubomoa, kuharibu na kuangamiza, kujenga na kupanda.” 11Neno la Bwana likanijia kusema, “Je, Yeremia unaona nini?” Nami nikajibu, “Naona tawi la mti wa mlozi.” 12Bwana akaniambia, “Umeona vyema kwa maana ninaliangalia neno langu ili kuona kwamba limetimizwa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.