Yeremia 1:8
Jeremiah 1:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiwaogope, kwa maana niko pamoja nawe nikuokoe,” asema Bwana.
Jeremiah 1:8 in English
Jeremiah 1:8 · Berean Standard Bible
Do not be afraid of them, for I am with you to deliver you,” declares the LORD.
Context
6Nami nikasema, “Aa, Bwana Mwenyezi, sijui kusema, kwani mimi ni mtoto mdogo tu.” 7Lakini Bwana akaniambia, “Usiseme, ‘Mimi ni mtoto mdogo tu.’ Utaenda popote nitakapokutuma na kunena lolote nitakalokuagiza. 8Usiwaogope, kwa maana niko pamoja nawe nikuokoe,” asema Bwana. 9Kisha Bwana akaunyoosha mkono wake na kugusa kinywa changu, akaniambia, “Sasa nimeyaweka maneno yangu kinywani mwako. 10Tazama, leo nimekuweka juu ya mataifa na falme ili kungʼoa na kubomoa, kuharibu na kuangamiza, kujenga na kupanda.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.