Native Bible

Jeremiah 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nami nikasema, “Aa, Bwana Mwenyezi, sijui kusema, kwani mimi ni mtoto mdogo tu.”

Jeremiah 1:6 in English

Jeremiah 1:6 · Berean Standard Bible

“Ah, Lord GOD,” I said, “I surely do not know how to speak, for I am only a child!”

Context

4Neno la Bwana lilinijia, kusema, 5“Kabla sijakuumba ndani ya tumbo la mama yako, nilikujua; kabla hujazaliwa nilikutenga kwa kazi maalum; nilikuweka uwe nabii kwa mataifa.” 6Nami nikasema, “Aa, Bwana Mwenyezi, sijui kusema, kwani mimi ni mtoto mdogo tu.” 7Lakini Bwana akaniambia, “Usiseme, ‘Mimi ni mtoto mdogo tu.’ Utaenda popote nitakapokutuma na kunena lolote nitakalokuagiza. 8Usiwaogope, kwa maana niko pamoja nawe nikuokoe,” asema Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.