Native Bible

Isaiah 3:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Badala ya harufu ya manukato kutakuwa na uvundo; badala ya mishipi, ni kamba; badala ya nywele zilizotengenezwa vizuri, ni upara; badala ya mavazi mazuri, ni nguo za magunia; badala ya uzuri, ni alama ya aibu kwa chuma cha moto.

Isaiah 3:24 in English

Isaiah 3:24 · Berean Standard Bible

Instead of fragrance there will be a stench; instead of a belt, a rope; instead of styled hair, baldness; instead of fine clothing, sackcloth; instead of beauty, shame.*

Context

22majoho mazuri, mitandio, mavazi, kifuko cha kutilia fedha, 23vioo, mavazi ya kitani, taji na shali. 24Badala ya harufu ya manukato kutakuwa na uvundo; badala ya mishipi, ni kamba; badala ya nywele zilizotengenezwa vizuri, ni upara; badala ya mavazi mazuri, ni nguo za magunia; badala ya uzuri, ni alama ya aibu kwa chuma cha moto. 25Wanaume wako watauawa kwa upanga, nao mashujaa wako watauawa vitani. 26Malango ya Sayuni yataomboleza na kulia, ataketi mavumbini akiwa fukara.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.