Isaya 3:25
Isaiah 3:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanaume wako watauawa kwa upanga, nao mashujaa wako watauawa vitani.
Isaiah 3:25 in English
Isaiah 3:25 · Berean Standard Bible
Your men will fall by the sword, and your warriors in battle.
Context
23vioo, mavazi ya kitani, taji na shali. 24Badala ya harufu ya manukato kutakuwa na uvundo;
badala ya mishipi, ni kamba;
badala ya nywele zilizotengenezwa vizuri, ni upara;
badala ya mavazi mazuri, ni nguo za magunia;
badala ya uzuri, ni alama ya aibu kwa chuma cha moto. 25Wanaume wako watauawa kwa upanga,
nao mashujaa wako watauawa vitani. 26Malango ya Sayuni yataomboleza na kulia,
ataketi mavumbini akiwa fukara.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.