Native Bible

Isaiah 3:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

vioo, mavazi ya kitani, taji na shali.

Isaiah 3:23 in English

Isaiah 3:23 · Berean Standard Bible

and their mirrors, linen garments, tiaras, and shawls.

Context

21pete zenye muhuri, pete za puani, 22majoho mazuri, mitandio, mavazi, kifuko cha kutilia fedha, 23vioo, mavazi ya kitani, taji na shali. 24Badala ya harufu ya manukato kutakuwa na uvundo; badala ya mishipi, ni kamba; badala ya nywele zilizotengenezwa vizuri, ni upara; badala ya mavazi mazuri, ni nguo za magunia; badala ya uzuri, ni alama ya aibu kwa chuma cha moto. 25Wanaume wako watauawa kwa upanga, nao mashujaa wako watauawa vitani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.