Native Bible

Isaiah 3:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

majoho mazuri, mitandio, mavazi, kifuko cha kutilia fedha,

Isaiah 3:22 in English

Isaiah 3:22 · Berean Standard Bible

their festive robes, capes, cloaks, and purses;

Context

20vilemba, mikufu ya vifundo vya miguu, mshipi, chupa za manukato na hirizi, 21pete zenye muhuri, pete za puani, 22majoho mazuri, mitandio, mavazi, kifuko cha kutilia fedha, 23vioo, mavazi ya kitani, taji na shali. 24Badala ya harufu ya manukato kutakuwa na uvundo; badala ya mishipi, ni kamba; badala ya nywele zilizotengenezwa vizuri, ni upara; badala ya mavazi mazuri, ni nguo za magunia; badala ya uzuri, ni alama ya aibu kwa chuma cha moto.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.