Native Bible

Isaiah 3:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Malango ya Sayuni yataomboleza na kulia, ataketi mavumbini akiwa fukara.

Isaiah 3:26 in English

Isaiah 3:26 · Berean Standard Bible

And the gates of Zion will lament and mourn; destitute, she will sit on the ground.

Context

24Badala ya harufu ya manukato kutakuwa na uvundo; badala ya mishipi, ni kamba; badala ya nywele zilizotengenezwa vizuri, ni upara; badala ya mavazi mazuri, ni nguo za magunia; badala ya uzuri, ni alama ya aibu kwa chuma cha moto. 25Wanaume wako watauawa kwa upanga, nao mashujaa wako watauawa vitani. 26Malango ya Sayuni yataomboleza na kulia, ataketi mavumbini akiwa fukara.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.