Isaya 2:14
Isaiah 2:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa milima yote mirefu na vilima vyote vilivyoinuka,
Isaiah 2:14 in English
Isaiah 2:14 · Berean Standard Bible
against all the tall mountains, against all the high hills,
Context
12Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba
kwa wote wenye kujivuna na wenye kiburi,
kwa wote wanaojikweza
(nao watanyenyekezwa), 13kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana,
na mialoni yote ya Bashani, 14kwa milima yote mirefu
na vilima vyote vilivyoinuka, 15kwa kila mnara ulio mrefu sana
na kila ukuta wenye ngome, 16kwa kila meli ya biashara,*
na kila chombo cha baharini cha fahari.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.