Isaya 2:15
Isaiah 2:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa kila mnara ulio mrefu sana na kila ukuta wenye ngome,
Isaiah 2:15 in English
Isaiah 2:15 · Berean Standard Bible
against every high tower, against every fortified wall,
Context
13kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana,
na mialoni yote ya Bashani, 14kwa milima yote mirefu
na vilima vyote vilivyoinuka, 15kwa kila mnara ulio mrefu sana
na kila ukuta wenye ngome, 16kwa kila meli ya biashara,*
na kila chombo cha baharini cha fahari. 17Majivuno ya mwanadamu yatashushwa,
na kiburi cha wanadamu kitanyenyekezwa,
Bwana peke yake ndiye atatukuzwa siku hiyo,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.